HII NAKALA NIMEAMUA KUANDIKA NIKIWA NA MASIKITIKO MAKUBWA SANA. KWA MUJIBU WA NAKALA HII INAGUSA MOJA KWA MOJA KWA JESHI LA POLISI.
LABDA KABLA YA KUANZA SIMULIZI LA MKASA ULIOMPATA NDUGU YANGU MAENEO YA UBUNGO. NITAANZA SWALI LANGU MUHIMU.. (1) JE KISHERIA KAMARI INARUHUSIWA? (2)JE WASHEZESHA KAMARI WANARUHUSIWA KUPEWA KIBALI?..(3) NA KAMA WANARUHUSIWA KUNA HAJA GANI YA KUWAKAMATA MAJAMZI KWA HATA WAO PIA SIWANGEPEWA KIBALI?...(4)MWISHO JE KUNA UMUHIMU GANI WA KUWA NA JESHI LA POLISI KATIKA KILINDA RAIA?
MOJA KWA MOJA NAKWENDA KUTOA SIMULIZI.. NDUGU YANGU HUYU ALITOKA MOROGORO KIKAZI. BAADA YA KUFIKA MAENEO YA UBUNGO PALE YANAPOPAKI MAGARI YAENDAYO MBAGALA, MLANDIZI. ALIKUTA KUNA TURUBAI. KWANI ILIMBIDI ASOGEE NA KUTIZAMA KINACHOFANYIKA.. NA ALIPOFIKA. ALISIMAMA. BAADA YA KUSIMAMA MBELE YA TURUBAI. ALIGUNGUA KUWA KUNABAHATI NASIBU INAYOCHEZESHWA. KISHA WALE WACHEZESHAJI WALIMPA KARATASI YENYE NAMBA. WAKAMWAMBIA ATOE SHILINGI 1000 ILI AJARIBU BAHATI YAKE. NA NDIPO ALIPOTOA WAKAMWAMBIA AMESHINDA. WAKAANZA KUMSUKUMA ILI AINGIE NDANI. BAADA YA KUINGIA NDANI. NDIPO WALIPOWAMBIA ILI TUKUANDIKE JINA. INABIDI UTOE SHILINGI 10000. ILI WA MKABIDHI ZAWADI. THAMANI YA SHILINGI 500,000 KWANI ALITOA. BAADA YA HAPO WALIZIDI KUONGEZEA VITIMBIA NA HATIMAYE KUFIKIA SHILINGI 50,000 NA BAADA YA KUGUNDUA. KUWA AMESHAISHIWA WALIMUAMURU ATOKE NJE YA TURUBAI. NA BAADAYE WANAMWAMBIA. ACHEZE TENA KWA ALIKATAA. NA NDIPO WAKAMFUKUZA.. WAKATI AKITAFUTA MSAADA ILI ARUDISHIWE FEDHA ZAKE. WALE WACHEZESHA KAMARI WAKAMWAMBIA. NENDA KOKOTE. UKASTAKI. SISI KIBALI TUNACHO... NDUGU YANGU HUYO HAKUCHOKA ALIJARIBU KUULIZA KITUO CHA POLISI. NA ALIELEKEZWA KILIPO. ILA MIFUKONI ALIKUWA HANA KITU. YAANI HATA NAULI. NDIPO ALIKUWA AKIVUKA BARABARA ALIKUTANA NA WALE ASKASI WANAOKAMATA PIKIPIKI. ALIWAOMBA WAMSAIDIE. WALE ASKARI WAKAMWAMBIA AKACHUKUE RB. PALE. TEMINAL. ALIELEKEA. MPAKA PALE WANAPOINGIA WATU. NA ALIPOFIKA WALIMKATALIA KWA KUWA HANA PESA YA USHURU. IKABIDI AWAELEZEE TATIZO LILILOMPATA. JIBU LAO WALIMWAMBIA HUTOWEZA KUWASTAKI WALA KUWAKAMATA. KWAKUWA KIBALI WANACHO. ALISHINDWA KUENDELEA NA MCHAKATO WA KUTAFUTA HAKI YAKE. NA NDIPO ALIPOAMUA KUJA KUNISIMULIA. ILINIUMA SANA MOJA KWA MOJA NIKAJUA HAKUNA JESHI LA POLISI TANZANIA ILA KUWASHENZI TU. KWA SABABU WALE ALIWAOMBA MSAADA KWANINI WASINGETOA MSAADA? MOJA KWA MOJA NAPENDA KUSEMA HIVI...UNAPOWAAMBIA WANANCHI WASICHUKUE SHERIA MKONONI MNAKUWA MNAKOSEA. NA NIMEGUNDUA KUWA WANANCHI WAKICHUKUA JUKUMU LA KUMUHUMU MWIZI AU TAPELI MNAKUWA MNAKOSA KULA. NA KILE KITUO CHA POLISI KILICHOPO UBUNGO NA WALE WATOZA USHURU NI WEZI. WEWE KAMA MTOZA USHURU KWANI USIMPE RUHUSA. MUHUSIKA AKATATULIWE TATIZO. KIUJUMLA WOTE NJAMA NI MOJA. NA NINATANGAZA VITA DHIDI YA JESHI LA POLISI LA UBUNGO NA HAO MATAPELI WA KAMARI. NA DAIMA MWANGAJAMII HAITAWEZA KUVUMILIA UPUUZI NA UJINGA. UNAOFANYWA.
ONYO
MWANGAJAMII HAIWEZI KUMUOGOPA YEYOTE YULE. HERI MMOJA AFE WENGI WABAKI.
KAMA UNAMAONI USHAURI TUMA MESAGE YAKO KWA BARUA PEPE. mwangajamii@yahoo.com
7 Comments