vipi.? naona mfumo wa technology mpya ya kutembea na vibanda vya biashara. kama mnavyoona hapo juu. gari naweza kuliita kibanda huria limesababisha ajali eneo la moroko hotel kati ya dereva pakipiki na taxi. ni baada tu ya mwenye pikipiki kukwepa kugongana na gari hilo aina ya kibanda huria. na ndipo akakumbana taxi iliyokuwa ikitokea kariakoo. na kibanda hiki kilikuwa kikimkimbia trafiki police. kwa kumwogopa kuwacheleweshea biashara yao hiyo huria. kiukweli nikwamba mipango yake iligonga mwamba ya kumkimbia trafiki huyo. mimi naona wabongo temechokana kwa kutembezeana biashara majumbani kwa kutumia vibanda vyenye matiri kama ya gari. Nawapa pole watanzania kwa ugumu wa maisha ya kila siku.
3 Comments