SHIRIKA LA UMEME TANESCO NA SHIRIKA LA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAWASCO MBONA MMEKUWA KERO TANZANIA.? TANZANIA MPAKA SASA HAINA MAJI SAFI... UMEME WA KUAMINIKA. KWA KUWA SERIKALI YENYEWE HAINA MUELEKEO WA MAENDELEO. BAADHI YA VIONGOZI WANAWEKA FEDHA ZA WANANCHI MIFUKONI MWAO NA KUJILIMBIKIZIA MALI.... NA NDIO MAANA HATA WAWEKEZAJI HAWARUHUSIWI KUWEKEZA... NA MUEKEZAJI ATAKAE WEKEZA TANZANIA LAZIMA AWE FISADI... INASIKITISHA SANA KWA MTANZANIA KULALAMIKA UMASIKINI NA WAKATI VIONGOZI... WAKIJILIMBIKIZIA MALI HUKU MTANZANIA AKITESEKA KWA UMASIKINI.. SASA HIVI VIONGOZI WETU WAKISHINDANA KWA MISHAHARA..... LEO HII MTANZANIA UNAPANDISHIWA..GHARAMA ZA MAJI, UMEME, CHAKULA NK. NI KUTOKANA NA WALAFI WALIOPO SERIKALINI.. HII INACHUKUA SURA KUWA NCHI YETU INAELEKEA KUBAYA.....NAWEZA KUSEMA TANZANIA VIONGOZI WALIOBAKI WAZALENDO NI 5% KUTOKA 100% JE NCHI HII ITAPONA KWA HAWA MAFISADI? SASA JIULIZE KAMA MTANZANIA KODI ZOTE ZA WANANCHI ZINAKWENDA WAPI?
MF:
GHARAMA ZA UMEME NA MAJI ZIMEKUWA JUU, NA MAJI VIVYO HIVYO.. HUKU TRA WAKICHUKUA KODI MBALIMBALI. SASA HIZO FEDHA ZINAKWENDA WAPI?NDUGU MTANZANIA MPAKA SASA UMEJIPANGA VIPI?
3 Comments