BORA UCHEZE NA FAMILIA YAKO KULIKO NGUVU YA UMMA..

Tunataka  haki  zetu. 







Hizo  ni  kauli  za  vijana  waliokuwa  wakiandamana  jana  kupinga  kupelekwa  kwa  mwenyekiti  wa  chama  cha  Demokrasia na  maendeleo   Chadema  Filimon mbowe Ambapo  ndio  alikuwa  akisafirishwa  kuelekea mahakama  ya  uko Arusha.  hapo  jana maeneo  ya  magomeni  moroco  hotel.

Tunawangoja  kwa  hamu.

 Hawa  ni  wazee  wa  kutoa dozi  bila  ganzi, wakiwa  katika  mingo  zao.  huku  wakisubiri  wale  wanao andamana  kwa  kupinga  kusafirishwa kupelekwa  mkoani Arusha,  mwenyekiti  wao  wa  chadema.   lakini  wazee  hao  wa  kazi   waliondoka  bila  mafanikio  kupatikana.

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
WATANZANIA WAMEELIMIKA NA SI WALE WA ENZI HIZO.. SERIKALI CHUKUENI HATUA YA MAENDELEO MAZURI,,,